WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUENDELEA KUELIMISHA WANANCHI MBINU ZA KUKABILIANA NA TEMBO

Na Barnabas Kisengi-Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kuelimisha wananchi kuhusu mbinu mbalimbali za kukabiliana wanyama wakali na waharibifu hususan tembo ili kupunguza madhara yatokanayo na wanyamapori hao. Naibu Waziri wa Maliasili na UtaliiĀ  Mary Masanja amesema hayo alipokua akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii kwenye kikao cha Kamati